LyricFind Logo
LyricFind Logo
Profile image icon
Lyric cover art

Miss Tabata

Apple Music logo
Deezer logo
Spotify logo
Share icon
Lyrics
Unanipa amani
Mtunza siri zangu za ndani
Weekend twende London
Mimi nawe tukale rahaaa aaahh
Dayana Dayanaa
I am your persona Dayanaaa
Dayana Dayanaaa
I int a gangster Dayanaa
Umekamilikaa bibieeeeeh
Nini unatakaa niambieeeeh
Nyimbo za mapendo nikuimbieeeeh
Moyo utakateee mamaaaaaaah
Ka ka kadanse
Njoo tucheze kadanse
Serebuka kadanse
Mpaka chini kadanse
Wanasema umenikamataaaa
Waacheee waachee waongeeee
Anyway you go nitakufataaa
Waacheee waachee waongeeee
Tufurahi hakuna matataaa
Waacheee waachee waongeeee
I wanna marry you Miss Tabata
Waacheee waachee waongeeee
Nipe sikio nikung'ateee
Dayana you take my everything
Tukalile le fungateee
Fungate tujitulize
When i come to you my love
I get peace of mind my love
Give to me all your love na aaaaaaahhh
Siri ya nini niambie eeh
Tulonge mamamaa
Usinifiche niambie eeh
Yamoyo semaa
Umekamilikaa bibieeeeeh
Nini unatakaa niambieeeeh
Nyimbo za mapendo nikuimbieeeeh
Moyo utakateee mamaaaaaaah
Ka ka kadanse
Njoo tucheze kadanse
Serebuka kadanse
Mpaka chini kadanse
Wanasema umenikamataaaa
Waacheee waachee waongeeee
Anyway you go nitakufataaa
Waacheee waachee waongeeee
Tufurahi hakuna matataaa
Waacheee waachee waongeeee
I wanna marry you Miss Tabata
Waacheee waachee waongeeee
Wanasema umenikamataaaa
Waacheee waachee waongeeee
Anyway you go nitakufataaa
Waacheee waachee waongeeee
Tufurahi hakuna matataaa
Waacheee waachee waongeeee
I wanna marry you miss tabata
Waacheee waachee waongeeee
Dayana dayanaa Isack Solo
I am your persona dayanaaa pigia Fasy Masauti guitar
Dayana dayanaaa
I int a gangster dayanaa
Dayana Dayanaa
I am your personal dayanaaa
Dayana Dayanaaa
I int a gangster Dayanaa
Bibiee eeh
Niambiee eeh
Nikuimbiee eeh
Mamaa

WRITERS

Lucas Kimaro

PUBLISHERS

Lyrics © O/B/O DistroKid

Share icon and text

Share


See A Problem With Something?

Lyrics

Other